23 December 2014

  
Marehemu

Majambazi yaliokuwa yakitumia usafiri wa Pikipiki (Bodaboda), Walivamia duka dogo la Mpesa na tigo pesa pamoja na Airtel Money, leo na kupora kiasi cha pesa kisicho tambulika.

Wakati Majambazi hayo yalipokuwa yanatoroka kwa kutumia usafiri wa Bodaboda, yalikuwa yakipiga risasi ovyo na kwa bahati mbaya risasi moja ikampata mwanamke mpita njia. Na kusababisha umauti wake.

Jina la Mwanamke huyo halikuweza kupatikana, ila minong'ono tulio ipata kutoka kwa mdau wetu, ni kuwa marehemu ni mkazi wa Kibamba na alikuwa ameolewa Mwezi wa tisa (Septemba) mwaka 2014

 
Marehemu Enzi ya Uhai Wake


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!