7 December 2012

Marehemu Seleman Shamte Mbonde aka Solomon Mark Kamanzi 
---
Familia ya Shamte Mbonde insikitika kutangaza kifo cha mwanao mpendwa Seleman Shamte Mbonde almaarufu Mark Solomon Kamanzi kilicho tokea nchini Portugal 1 Desemba 2012.

Taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwake UK zinafanyika. Taratibu za mazishi zitafanyika mara mwili utakapo wasili nchini UK.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu
110 Kursaal Way,
Flat 30 Mirror Steps
SS1 2YX

Ili kufanikisha safari yake ya mwisho wa maisha yake tunaomba msaada wako kupitia Account zifuatayo:


NAME: O Mtambo

ACCOUNT NUMBER: 03625435
SORT CODE: 20-79-73
BANK: Barclays

AU

NAME: Mr. Ahmed K Mohamed
ACCOUNT NUMBER: 46888468
SORT CODE: 30-79-84

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ahmed: 07536590033
Othman: 07960768910

ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI


Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!