2 January 2015

Hizi ni baadhi ya picha tulizotumiwa na mdau kutoka Zanzibar,akidai kuwa moja ya jengo la zamani, (Mji Mkongwe) limeanguka na kuleta madhara kwa wakazi wa nyumba hiyo.

Tunasikitika kuwa hatukuweza kuthibitisha habari hii siku na wakati janga ili lilipotokea.
Ila T-mark, inawapa mkono wa pole waanga wote walioathirika kwa namna moja au nyingine.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!