15 January 2014

Salam alaykum

Baada ya zaidi ya miezi 18 ya majadiliano kwenye tovuti ya islamnewsroom.com Muigizaji na mcheza filamu maarufu, Liam Neeson amesilimu uko nchini Uturuki

Muigizaji sinema mwenye asili ya Ireland, Liam Neeson hatimaye ameikana imani ya kikatoliki na kuongoka, Liam Neeson amesilimu na kuingia kwenye dini ya Uislamu, kwa mujibu wa taarifa kutoka Uturuki zilizochapishwa na Weekly World News online

Nyota huyu wa kucheza filamu za kusisimua, alisikia adhana kwa mara ya kwanza nchini Uturuki na kuvutiwa na sauti yake kiasi cha kusema... “The Call to Prayer (adhan) happens five times a day . . . it just gets into your spirit and it’s the most beautiful, beautiful thing".

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!