31 October 2013

Nanukuu tu:

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- 

AS USUAL I ALWAYS HAVE TO SAY SOMETHING WHEN THINGS ARE HOT ON THE FACT KWAMBA WASANII WENGI WA BONGO WAMESUSIA KWENDA MSIBA WA MSANII MWENZAO SUPER STAR WEMA SEPETU KWA SABABU HAJAENDA MISIBA YAO, NI SIMPLY FOOLISH THINKING COMING FROM UNEDUCATED FOOLS. OK SO WHAT? KWANI WEMA ALIWAOMBA KWENDA KWENYE MSIBA WAKE? 

LOOK HERE KAMA MIMI SIJI MSIBA WAKO MAANA YAKE NI SITEGEMEI WEWE UJE KWENYE WANGU, FULL STOP!! I CAN UNDERSTAND KAMA WEMA ANGEKUWA WA KWANZA KULALAMIKA KWAMBA WASANII HAWAKWENDA SAWA THEN HAWA WASANII WANGEKUWA NA HAKI YA KUTAMBA KWAMBA WAMEMSUSIA OTHERWISE I SEE THEM PLAYING FOOLS WITH THEMSELVES, MSIBA WA WEMA UMEHUDHURIWA MPAKA NA RAIS WA JAMHURI, MAKAMU WAKE, MAWAZIRI HIVI KWELI ALIWAHITAJI HAWA WASANII MBURULAZZZ FOOLS? OHHH PLEASE SPARE US YOUR FOOLISHNESS, I AM SURE KWAMBA WEMA WALA HAJUI KAMA HAWAKUJA CAUSE I WAS THERE JANA KULIKUWA NA WATU WENGI TU TENA MAARUFU SANA WA KILA KONA YA HILI TAIFA!!


- HAWA WASANII THEY SHOULD ALL GET A REAL JOB 9AM TO 5PM AND STOP BEING CRYING BABIES, WEMA ALIPOKOSA KWENDA KWENYE MISIBA YAO THE MESSAGE WAS VERY CLEAR KWAMBA NA WAO WASIJE WAKE LAKINI JE ALIPIGA KELELE KUWA SIENDI? SASA WAO KWA NINI WANAPIGA KELELE ZA KUTOKWENDA? NI KUJARIBU KULAZIMISHA UMAARUFU KWA NGUVU WALALAHI HAWA WOTE THEY SHOULD GET A REAL JOB NOW!!, BRAVO TO MY SUPER FRIEND SUPER STAR WEMA SEPETU!!! YOU ARE RIGHT ON THE TRACK!! GO! GO! BABY AND IT WAS KOOL JANA THAT I HAD FUN WITH YOUR MAMA SHE IS KOOL!! - LE MUTUZ

Na akamaliza mjibuni sasa........
Reactions:

1 comment:

  1. Huyu anaonekana ni kibaraka/mpambe wa nguvu alafu kakabithiwa rungu. Maana mkali kuliko wema mwenyewe!! Plz kama watamjibu tuwekee pia!! Is my first time in this blog!!

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!