8 February 2012
Ukiwa Mdau,mpenzi wa blog hii tunapenda kukushirikisha kuchagua logo ambayp unaona inafaa kutumika katika blog hii.
Tunathamini mchango wako na ndio maana tumeamua kukushikisha
Shukran kwa kutembelea Blog na shukran kwa mchango wako.
tmark-turn.
Reactions:

1 comment:

  1. Hiyo design ya logo ya juu kabisa ingekuwa kwenye background ya hiyo logo ya tatu toka juu ingekuwa bombaa sana

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!