4 November 2012


“kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nimeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu. Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu. Na inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua nyumbani nilikua nimesafiri. Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama” Alisema Wolper

Sawa hauna ubaya na mtu yoyote,ila unasahau kuwa yule jamaa umeachana nae na sasa mjamaa hana kitu vitu vyote umemaliza,usishangae hata kidogo,isipokuwa chukua tahadhari ya kuhama katika hiyo nyumba tu.

Ushauri wangu hama katika hiyo nyumba hata kama kodi uliyolipiwa haijaisha la sivyo jamaa atakufuatilia sana siunaona alivyomnyang'anya mzee wa viuono gari kwa kuwa tu wewe umeachana nae na mzee wa viuno ndio aliyekuwa mpiga pande.
Sasa ili yasikukute mengine wewe hama tu katika hiyo nyumba jamaa bado ana yale mambo ya zamani kuachana na mtu halafu kudai vitu vyake,sasa muwe mnaangalia wanaume wa kutoka nao sio miona pesa tu mimacho imewatoka.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!