4 November 2012

Mh. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya kuwasili nyumbani kwao Brussels kwa ajili ya chakula cha jioni
Pichani ni baadhi ya watanzania na maafisa ubalozi waliojitokeza kumpokea Mh. Mkapa
Mh. Mkapa akisaliana na wadau
Wadau wakiendelea na salam pamoja na ukaribisho
Watanzania walijitokeza kwa wingi kumkaribisha Mh. Mkapa
Ukaribisho ukiendelea
MHESHIMIWA RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, BENJAMIN WILLIAM MKAPA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA TAREHE 21.10.2012 wakati Mh Rais Mstaafu alipokuwa Brussels, Belgium kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na International Crisis Group(ICG).
asante!
Wakina mama hawkaubaki nyuma 
Mh. Mkapa akikaribishwa
Baadhi ya watanzania waliojumika na Mh. Mkapa ktaika chakula cha jioni nyumbani kwa Mh. Balozi Kamala
Rais mstaffu wa Tanzania Mh. Benjami Mkapa akiwa katika picha na Mh. Balozi wa Tanzania Belgium Dr Kamala nyumbani kwake
Rais mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Kamala
Raisi mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala
Baadhi ya viongozi wa Jumuyia ya watazania Ubeligiji na Uholanzi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dr Kamala

Shukran Jestina George
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!