26 April 2012Pumzi ni filamu fupi ya kisayansi kutoka  Kenya ,iliyoandikwa na kuongozwa na Wanuri Kahiu.

Hivi kweli wasanii wetu kama wataomba udhamini watakosa kufanya filamu za kueleweka kama hizi,lkn wapi wamezoea kufanya maigizo yao halafu wanayaita filamu.Angalia wahiru yeye ndio ameandika filamu na kuongoza lakini hakuigiza humu.
Nimepata bahati ya kuangalia mahojiano ya Wahiru aliyofanyiwa katika kipindi cha patricia Amira show kinachorushwa na channel Afrika,akizungumzia ni jinsi gani ilimchukua muda kuandika stori hii ya Pumzi.
Directed byWanuri Kahiu
Produced bySimon Hansen
Amira Quinlan
Hannah Slezacek
Steven Markovitz
Written byWanuri Kahiu
StarringChantelle Burger
Kudzani Moswela
Music bySiddhartha Barnhoorn
CinematographyGrant Appleton
Editing byDean Leslie
StudioInspired Minority Pictures
Distributed byFocus Features
Release date(s)October 21, 2009 (2009-10-21) (Kenya Film Festival)
Running time21'
CountrySouth Africa
Kenya
LanguageEnglish
Budget$35,000
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!