6 December 2013

    Mwanaidi Suka(Ruth)aka Mainda.

"...Hizi salamu zako Johari, ni hivi naomba usinitaje kwenye huo upumbavu wenu, Huyo mwanaume mnae mzungumzia mimi kwangu namuona mtu wa kawaida tu ndio maana nikatupa kule. Nadhani umenipata alafu sitaki kumpandisha mtu jina sawa?. Ni hivi mimi si mpinzani wako, nadhani mpinzani wako unamjua mliopiganana (Sakata la Johari na Chuchu hans kupigana)  mkataka kutoana roho kisa shingo ya kuku mlivyokuwa wajinga na malimbukeni wa mapenzi wanaume hapawiganiwi. Nimewakalia kimya naona wewe mwenye kilanga umejitoa kimasomaso ukaenda kiu ukasema Mainda amebip wewe unataka kumpigia, ni hivi usiniweke kwenye upumbavu wenu, mimi huyo mwanaume wenu kwangu ni kuku kama kumtafuna nimemtafuna mpaka mifupa alafu nikatupa kwenye shimo la taka, sasa nyiyni mbwa koko mlio kosa wafugaji ndio mnaruka ovyo hamjui mle nini, pumbavu kabisa wewe na mke mwenzio sindio amkauki kunisema me mgonjwa, sasa kama me mgonjwa huyo bwana wenu ni hivi wewe mwenye shape kama ubao usiejielewa nakushauri achaha na mimi nenda sinza…..(Itaendelea)

Source bongo movie

Ushauri wangu Tmark turn

Kwani mainda ungekaa kimya ingekuwaje?hivi unaelewa kimya ni jibu ambalo linamuumiza  sana Adui yako?

Hivi kweli jamani katika Karne hii iliyojaa kila aina ya maradhi bado watu wanabadilishana mwanaume Kama nguo?

Mainda Kwa kuanza majibishano nawe umekuwa huna tofauti na huyo  unaejibishana nae.

Nimemaliza


       Mwanaidi Suka(Ruth)aka         Mainda.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!