8 December 2013

Yap tarehe 8 mwezi huu wa kumi na mbili ndio mwezi aliozaliwa super star solo thang aka ulamaa.Ndio ulamaa akijikatia keki

    The man himself akijilia taratibu
    The man akimlisha wife wake

Mwenyezimungu akujalie umri mrefu broda,afya njema na akuwezeshe utimize ndoto zako zote insha Allah .ameen

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!