11 October 2012

haha kubwa jamani hiyo katles hahahah
Ahned akiwa na marafiki zake kutoka kushoto Nabeel Mawji,,Luqman,naUtu Nirmal .
brothers 4 rever,Ahmed akiwa na rafiki zake  kushoto ni Said,Utu,Master Nabeel,Mseleem,Luqman,,Naeel,Mohamed Somo,na wa mwisho Zulfikar Somji
Master Nabeel akimlisha Ahmed keki huku Naeel akishuhudia,what a lovely friendship
Pokea Keki my broda,hahaha master akimwambia Ahmed
yes nimeipenda hii huo ndio urafiki brodaz,mpendane hivyo hivyo

Master nabeel na Ahmed birthday boy
hahahahah mpiga pich aalichelewa hapa,jokes hahahahahah
Lovely,mlimwambia nini birthday boy mbona amecheka sana jamani hahahahah
Master eeeee hebu fungua hii zawadi nione kuna nini humu ndani ahmed bwana hahahah



hahaha hahahah

Kweli wewe master hahahahah,
Walikuchekesha nini Ahmed hapa hahaha lovely
Happy birthday my dear brodaz,inshallah mwenyezimungu akuondolee maradhi kaka angu.ameen

3 comments:

  1. Amin.. Mashaallah he's so strong n happy. Allah akupe tahfif,

    ReplyDelete
  2. Subhanallah...Allah akupe subra na akufanyie wepesi, Hakika wewe ni mjasiri na mvumilivu...Inshallah Allah (SWT) anajua zaidi yetu.

    ReplyDelete
  3. Mungu akupe uvumilivu kaka. Ahmed na update nafuu ya matatizo yako inshallah

    ReplyDelete

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!