9 February 2012

Pendeza maishallah,watakuigiziajeee wabongo maana hii yako ni zaidi ya colour combo.
Igeni na hii basi sio lazima hadi wakina mama Ivy Blue wafanye

2 comments:

  1. Ni mwalimu nini?
    Mbona amejipaka "chalk sticks"?
    Hahahahahaaaaaa

    ReplyDelete
  2. mzee wa changamoto unautani na hao watu,mie simo kabisa

    ReplyDelete

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!