Despite massive audiences from around the world tuning in to watch the show, the singer appeared to feel no shame in raising her middle finger to the crowd.
Sisi tunaelezwa wazi kuwa "when it bleeds, it leads". Habari zivumazo si zile za ukarimu sana. Sitashangaa kujua kuwa alipanga hili na limempa attention ya kutosha. Na bado wapo watakaomfuatilia kuona kama ANA MPANGO WA KUOMBA MSAMAHA. Hilo tayari litakuwa ni chance la kuonekana na kusikika na kutambulika. Na akishaomba msamaha, who cares kuhusu alichoonyesha? Atakuja na best selling song na mambo kama hayo. Ninaweza kukuhakikishia kuwa wengi wamemjua kwa mkupuo kupitia tukio hili kuliko ambavyo wangemjua kwa "kucheza vizuri>" AGAIN When it bleeds, it leads. INASIKITISHA LAKINI NDIVYO ILIVYO
Sisi tunaelezwa wazi kuwa "when it bleeds, it leads".
ReplyDeleteHabari zivumazo si zile za ukarimu sana. Sitashangaa kujua kuwa alipanga hili na limempa attention ya kutosha. Na bado wapo watakaomfuatilia kuona kama ANA MPANGO WA KUOMBA MSAMAHA.
Hilo tayari litakuwa ni chance la kuonekana na kusikika na kutambulika. Na akishaomba msamaha, who cares kuhusu alichoonyesha? Atakuja na best selling song na mambo kama hayo.
Ninaweza kukuhakikishia kuwa wengi wamemjua kwa mkupuo kupitia tukio hili kuliko ambavyo wangemjua kwa "kucheza vizuri>"
AGAIN
When it bleeds, it leads.
INASIKITISHA LAKINI NDIVYO ILIVYO