2 September 2013

Alhamdulilah nimekuza binti yangu leo ameanza shule.
Sasa Mtoto wacha aanze kuwafundisha walimu na wazazi wengine waliopeleka watoto wao jina lake,sasa cha ajabu yeye ndio aliyekuwa analikosea baada ya taqqiyyah anasema tatiyyah  ha ha ha ha


      Maisha Allah love you mingi Mama

     Safari ya kuelekea shule ikaanza
     Pose zikaanza shuleni wacha mwalim         aanze kucheka.
     Full raha wanzake wanalia yeye anacheka.
     Taqqiyyah wangu akiwa darasani
    Leo umeifanya siku yangu Kuwa nzuri mama na yenye huzuni sana,Nimekuonea huruma kwa kukuwacha shule peke yako mama. Wacha niseme Alhamdulilah Kwa kukuza,insha Allah Mwenyezimungu akujalie binti yangu uzidi kupenda shule mama.
Reactions:

0 comments:

Post a comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!