4 September 2013

 QUEEN OF THE NIGHT ELIZABETH LULU MICHAEL 
Maisha Allh,Mtoto show rangi ya jogoo


 
Kajala umependeza sana 
Jack umependeza ila pose lako na hivyo viatu hapana,huu ni mtazamo wangu tu
      Stunning 
Madame looking kitoko
 Nguo tamu eeeh
 
 Niliona sehemu lulu amesema hawa ni maboss zake
Man
Mama yake na Nuru the light amependeza maisha Allah
The kidoti amependeza

  
Shughuli ikapata wenyewe wanaojua kupendeza 
Mmmmmmh
Kazi ipo
Sasa Kwanini hatujiangalii maumbo yetu na nguo tunazovaa tumbo limemshuka hadi chini jamaniBasi hayaaaaa
 SHILOLE Nawe jamaniiiiiiiii,kweli hapa siutakuwa umempa aibu best wako lopezino
 

Mboto basi ukomedi hadi kwenye kuvaaa jamani??????
Mmmmmmh kweli kuvaa kipaji
Daaah haya wacha tu nikubali

Pitapita yangu mitandaoni nikaona hii kitu kwa nuru the light nikajichekea mwenyewe kwa kweli,na nikaamini maneno ya mume wa mie kuvaa ni kipaji.

Na nikakubaliana na maneno ya nuru the light kuwa inabidi sasa itambulishwe dress code kila kwenye shughuli ijapokuwa pia ninahisi watavaa vituko hivyo hivyo.

Binafsi huwa ninajiuliza kwani hawa mastar wetu hawana watu wa kuwashauri kwenye uvaaji?

SHUKRANI Nuru kwa kuchukua picha kwako na pia ninazipeleka KWA MPIGA PICHA WA SHAMIM MMILIKI WA 8020FASHIONS BLOG.
Shukran sana mungu awabariki 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!