16 August 2013

Wasichana wawili raia wa kiingereza wamwagiwa tindikali Zanzibar kwa kile kilichodaiwa wameimba katika kipindi cha mwezi wa ramadhani.


Wasichana hao wenye umri wa miaka 18 kutoka katika mji wa London Kate Gee na Kirstie Trup wamemwagiwa tindikali hiyo katika sura zao baada ya kuimba katika kipindi cha mwezi wa ramadhani.Wasichana hao walikuwa Zanzibar kwa ajili ya kujitolea kufundisha katika shule,na hii ndio ilikuwa wiki ya mwisho ya kufundisha.

 Rais Kikwete alipokwenda kuwasalimia


Reactions:

0 comments:

Post a comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!