14 April 2012

Hata sijui lini na wa kwetu watafikia huku jamani,wao wanajaa sifa za kijinga tu,kuandikwa hovyo katika magazeti bila ya kulipwa senti nyekundu,
hebu badilikeni basi jamani na sie tuwe tunapata ya kuzungumza mbele ya marafiki zetu ambao sio wadanganyika.
Reactions:

1 comment:

  1. Ilo nalo neno shoga maana kazi kujicholosha tu awa na maana yoyote wenzao wako juu na Maisha kazi kukodi magari ya bei kubwa kushindana kuvaa, wanaume basi ... Cha maana asana kila siku kuandikwa wao tu kazi kwenda kwenye ma club kutunza mapesa Kama na pedesheee kuna watu wame kaa ata pesa ya chai Ana wana wacha kwenda kutoa sadaka ,,,,

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!