16 August 2013

SOMO KWA WANAWAKE MLIOOLEWA/

MSIO OLEWA WENYE WATOTO.

1. USIMUAMINI MUMEO KUWA KARIBU SANA NA WATOTO HATA KAMA KAWAZAA YEYE

2. MUMEO AKIAMKA USIKU FUATILIA KUJUA KAENDA WAPI, KUFANYA NINI?

3. TUJISHUGULISHE HATA KWA BIASHARA HII ITASAIDIA KUJIAMINI NA KUTOA MAAMUZI.

4. TUWE KARIBU SANA NA WATOTO ILI TUWEZE KUJUA MATATIZO YAO.

5. UKIONA MABADILIKO KWA MUMEO AU WATOTO FUATILIA.

6. USIWALAZE WATOTO WA KIUME WADOGO NA WAKUBWA KITANDA KIMOJA. 

USIJARIBU HAYA NYUMBANI KWAKO.

(Don't try this at home)

HII NI HATARI


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!