28 July 2013

Jana 27/07/2013 Ilikuwa siku ya 18 ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,Jijini Tanga Mitaa ya Usagara "Muumin" Mmoja alitoa Sadaka ya Ftari kwa Makundi ya Watoto Yatima na Wale wenye Ulemavu na Matatizo mengine.
 Kitendo hiki Maarufu/Mashuhuri kama Kufuturisha Kitakuwa kinaendelezwa na Waumin katika Maeneo Mbali mbali Ikliwa ni Katika Juhudi za Kutafuta Fadhila za Mwenyezi Mungu zipatikanazo katika Mwezi huu wa Ramadhan. 
Insha Allah Mwenyezi Mungu awajaalie wote watakaokamilisha zoezi hilo
Reactions:

0 comments:

Post a comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!