21 May 2014

Meli ya MV. Bukoba ilikuwa  na uwezo wa kubeba abiria 430 na tani 850 za mizigo. Kwenye daraja la kwanza na la pili. Orodha ya abiria ilikuwa inaonyesha abiria 443, lakini idadi ya abiria walikuwa wamepanda daraja la tatu hakukuwepo rekodi  yoyote.

Abiria wapatao 1000 walifariki dunia kwenye ajali hiyo. Meli ilizama umbali wa kilomita 56 kutoka bandari ya Mwanza.

Abiria wapatao 114 waliokolewa wakiwa hai, na maiti zilizopatikana zilikuwa 391.

MwenyeziMungu awalaze pema

Aamiyn

---
Career: Tanzania)   
Name: MV Bukoba
Namesake: Bukoba town
Operator:  TRC Marine Division
Route: Bukoba to Mwanza
Acquired: 1979
Fate: Capsized

General characteristics
Tonnage:    850 tonnes
Capacity:    430

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!