19 October 2012

 Akielekezwa sehemu ya kudondokea saini yake
 Saini mwaya,kuna wanaotamani siku hii
 Yap waonyeshe wasije wakasema ulikuwa unaigiza ile michezo yako
 Mwenyezimung akupe ndoa yenye kheri na wewe mwaya
Mtoto show
Blog hii inakutakia ndoa ya kheri na maisha yenye upendo na amani na mumeo,Aunty asikwambie mtu ndoa inahitaji uvumilivu sana,usiende ukajifanya wewe ni mjuaji sana huko ukaanza kuigiza filamu baada ya kuishi maisha ya kawaida na mumeo.
hebu waonyeshe wananchi kuwa kweli umeamua kuolewa kutoka moyoni na sio kwenda kuangalia mikato ya chumba.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!