14 June 2012


Mtangazaji wa kipindi cha Bongo Beats cha Star TV amefiwa na mtoto wake wa kiume muda mfupi baada ya kujifungua.

Kwa mujibu wa website ya Diamond, Sauda alijifungua mtoto huyo juzi kuamkia jana katika hospitali ya Kinondoni kwa Doctor Mvungi lakini wa bahati mbaya mtoto wake alifariki dunia.

Hata hivyo mtandao huo umedai kuwa Sauda bado yupo hospitali na afya yake inaendelea vizuri.

Mwezi April mwaka huu, mtangazaji huyo alifunga pingu za maisha na Kauli Juma.

Hisani ya chuma blog
Categories:

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!