31 August 2014

 


Hivi unajisikiaje?
...Unapoandika uongo kuhusu mtu fulani na yeye hakakunyamazia/akakudharau asikujibu.

Hivi unajisikiaje?
...Unapomtukana mtu kwenye wall yake au kwenye group na yeye akakunyamazia.

Hivi unajisikiaje?
...Unapotarajia kusoma matusi au kashfa kutoka kwake, naye akauchuna asiandike kitu.

Hivi unajisikiaje?
...Unapo mtuhumu kwa jambo hasilo litenda ukitegemea atakasirika, naye akakuchunia.

Hivi unajisikiaje?
...Anapoweka post ambayo haikuhusu, ukalazimisha ikuhusu, naye asiseme kitu.

Hivi unajisikiaje?
...Anapoweka post, ukaikandia kuwa si kitu na ukajiandaa kwa mipasho, ukitarajia atakujibu, matokeo amekuchunia.

Hivi unajisikiaje?
...!!
NB:
Wacha Chuki, Chuki zinasababisha Mtu Kuzeeka Kabla ya Umri Wake.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!