28 August 2014Halo Rafiki, tazama hapa. Ni kibwagizo kwenye tangazo la kuchangisha pesa kwa ajili ya kupiga vita maambukizi ya UKIMWI.

Wachezaji wa Kijapani wa picha za ngono, hivi karibuni watajitolea adharani kwa mtu yoyote mwenye kutaka kushika na kupapata matiti yao, kwa lengo la kuchangia mfuko wa kupiga vita maambukizi ya UKIMWI.

Waigizaji Tisa nyota wanawake wa filamu za ngono za Kijapani watakaa vifua wazi kwa saa 24 ili mashabiki wao wawashike shike na wakati huo huo washabiki watatakiwa kuchangia kiasi cha pesa kwa ajili ya mfuko wa maambukizi ya Ugonjwa wa UKIMWI.


Tamasha ilo limepewa jina 'boob Aid', ni kwa ajili ya kutafuta fedha za misaada kutoka kwa wananchi na washabiki ambao watapenda kushika manyonyo ya mastaa hao wa picha za ngono nchini Japan.

Tamasha ilo litaonyeshwa 'Live' kwenye luninga za ngono nchini Japan, siku ya Jumamosi.
Ili ni tukio la 12 tangia lilipoanzishwa mwaka  2003

'Mimi kwa kweli natarajia watu wengi watakao shika matiti yangu watayapenda' Amenukuliwa mwigizaji wa picha za ngono Rina Serina na gazeti la Tokyo Sports.
Mwigizaji huyo aliongeza kwa kusema. 'Lakini nitafurahi na nitapenda sana kwa watao bahatika wawe waungwana na kuyashika kwa upole manyonyo yangu.'

Mwigizaji huyo aliendelea kusema kuwa 'Hakutarajia matiti yake siku moja yatakuja kutumika kwa ajili ya mambo mazuri kama haya ya kuchangia pesa ili kupiga vita maambukizi ya UKIMWI na kunufaisha jamii.'

Mwigizaji mwenzake wa picha za ngono aitwae 'Iku Sakuragi' mwenye umri wa miaka 21 amenukuliwa akisema kuwa yeye hana tatizo katika jambo ili kwa sababu wanalifanya katika kuchangisha pesa kutoka kwa washabiki wao 'Furahia kwa Kushika matiti, changia pesa'
Reactions:

0 comments:

Post a comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!