3 December 2012

26/08/2012 Kushoto Mlango mkuu wa Ukumbi wa Tangamano.
 29/11/2012 Mlango huohuo miezi mitatu Baadae.
 Tumeshaambiwa jengo hili liko njiani kuvunjwa kupisha mradi wa Kimataifa!na sasa linakarabatiwa nashindwa kuelewa. je upo mwenye habari za ndani utupe hekima ya yanayojirii?
Au tuendelee kuuliza Tanga Kunaniii?
picha kwa hisani ya Tanga kunani group(fb page)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!