3 November 2012

Narudia tena kulisema hili kabla sijafa....
Ndege akiwa hai, hula wadudu, lakini ndege huyu huyu akipoteza uhai, wadudu wanamla, usije ukamdharau binadamu mwenzio kwa sababu yoyote ile, hata kama wewe ni mzuri sana na watu wanakusifia, hata kama una hela sana, hata kama humpendi mtu usimuoneshe moja kwa moja, kiburi si maungwana, tujifunze kujishusha na kukiri makosa yetu maana hatujui kesho yetu.
Mungu atusaidie sana...
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!