25 September 2012


AOSII-GALA night hold at the Carton hotel,Tyrellstown,County Dublin

 Ukiingia ulipatiwa huu mfuko ndani kuna Mkate toka nageria na marosoroso kibao hahaha
 Meya wa County FIngal akiwasili


 Fingal Ethnic Network(FEN) members


 Left Pamela Hogun chair woman FEN


 Ndio tukiwa na Spika wa bunge la Nageria


Fingal Ethnic Network (FEN) Members

 hah ha Mama T huwa hanuni,eti hata ufanye nini maishallah

 Lovely waliimba kighula cha kwao,kiairish na kiingereza chezeya wao
 Dance hilo

 Lady in red maishallah
 left :new chief in Ireland mr Ademokum Aderire Eyo
 Hii meza ilikuwa balaa,wa kwanza kulia ni member mwenzangu wa FEN
 Miss Nageria akisalimiana na Spika wa bunge lao
 Irish dance,binti yangu anapenda sana hii jamani itanibidi nimpeleke

 Misosi
 Jikeki shurti lina ramani za vitongoji vya Nageria
 Wakati tuupendao
 Salad
 Samaki
 Salad ilinishinda maana ilikuwa na mkubwa wa meza
Ha ha ha sahani yangu ijapokuwa nilikosa samaki hahahah
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!