5 March 2012


Designer:Subira Wahure
Mode:Evanuru Isaack
Make up and hair: Rehema Samo
Photograph:Hanif

gauni la kitenge
sketi ya khanga
black chiffon gown with khanga detail
Mwanamke kutafuta na sio kutafutna na kukalia majungu na fitina na uchonganishi.
Katika kipindi hiki Wanawake  wapo katika mchakamchaka wa kutafuta/Kusaidiana katika Maisha.
Subira Wahure ni mbunifu wa mavazi,hivyo ametuonyesha kuwa yeye mmoja  kati ya wanawake aliyeamua kutafuta kwa kutumia mikono yake mwenyewe,ninajua na wewe unajua mikono yako hivyo jitahidi ujishughulishe na sio kukalia maneno tu. 
Na hizo hapo juu ndizo baadhi ya kazi zake.
Ukitaka kumfahamu zaidi ingia.Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!