Lupita Nyong'o amekuwa muigizaji wa kwanza mkenya kushinda tuzo ya Oscar katika filamu 12 Years a Slave
Muigizaji msaidizi katika Filamu ya 12 Years, Lupita Nyong'o akionyesha wazi hisia zake baada ya kushinda tuzo hiyo kwa muigizaji msaidizi bora zaidi. Alicheza kama msichana mtumwa ambaye alipendwa na kabaila shamba wake
0 comments:
Post a Comment