7 March 2012

 Kim Kardashian na Kanye West ni zaidi ya marafiki,kwa mujibu wa paparazi wa  reality TV beauty,Kim ameshuka Paris kwa ajili ya kwenda kumpa tafu  rapper huyo makeke ambaye anajiandaa kwa ajili ya  a fashion collection yake ndaniParis Fashion Week.
Ukaribu wa Kim na Kanye umekuwa ukitiliwa mashaka ex girlfriend wa Kanye West bibie Amber Rose.
Kim ameonekana akiwa anajiachia kwa mapozi ya haja wakati alipokuwa akipiga picha na mfokaji huyo matata.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!