7 March 2012

A PRIVEIW CLIP HAS BEEN RELEASED OF BOBBI KRISTINA browns interview with oprah the 18 years olds first interview since her mother whitney died on 11 february this year.
hata hivyo oprah ameongea na kaka wa marehemu whitney Gary na wifi yakePatricia.
katika mahojiano hayo Bobbi ameelezea jinsi gani anataka mama yake akumbukwe.
Oprah ambaye aliwahi kumfanyia mahojiano marehemu whitney mwaka 2009,pia alihudhuria maziko ya whitney huko New Jersey february 18 mwaka huu,
Mahajiano ya Marehemu whitney na Opray ya mwaka 2009 yatarudiwa kama kumbukumbu kabla ya mahaojiano ya binti yake Bobbi.
Katika mahojiano yake marehemu Whitney alimuita baba wa mtoto wake,yaani aliyekuwa mume wake Bobby Brown. My Drugs
Kwa mujibu wa marafiki wa karibu wa Bobbi kristina wamesema Bobbi amechagua kufanya mahojiano yake ya kwanza  na Oprah kwa sababu Oprah hakuwa kumsema vibaya mama yake wala kumfanya mama yake kuonekana mbaya katika jamii.
Mahojiano hayo ya Oprah na Bobbi yatafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 11 march.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!