29 March 2012

Hii nguo rangi mbalimbali na size tofauti fauti zitapatikana soon weka oda yako mapema kwangu
check kigauni hapo pembeni shurti kijimpasuo cha chart nimeipenda hii gauni mbaya mbovu.
after two weeks hizi gauni zitakuwa mikononi kwangu so popote ulipo shaka ondoa pesa yako tuuu lol
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!