29 March 2012


Kiukweli kabisa mie huwa ninazipenda kazi za huyu shaa tangia pale alipokuwa na ktk kundi na wale wenzie,mie nilikuwa nikimuita huyu beyonce wa lile kundi.
Nyimbo zake huwa ninazipenda shaa sababu zinavijiujumbe fulani hivi ambavyo mie vinanikuna sanaaaa.
Ila wacha niseme ukweli hii nyimbo ni nzuri hongera mpz wangu shaa ila kwa kweli uchezaji sijaupenda kabisaaaaa,na huu ni mtazamo wangu mie..
Reactions:

1 comment:

  1. mmmmmmh,ni kweli kbsa,nyimbo nzuri ila jaman wanacheza kim****a sana eeeeh,au ndo uzunguu huuu,angecheza kiasi kama mdundo ulivyo kiafrika..

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!