29 March 2012


Ninaimba kimya kimya tu jamani,usijejitwisha mzigo uliko katika kapu lilolo toboka ukalowa mna maji ya nyanya zilizopasuka buree kwa kupenda ushahidi kwa mambo yasiyokuhusu,ndio maana ninakujua wewe hukawii kujumlisha,kutoa ,kuzidisha na kugawanya.ha ha ha ha ha kicheko nimecheka kwa sauti tena kubwa kushinda spika la Konomi.....
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!