21 February 2012


Likeki lilikuwa la haja
Ni wakiume mtoto mtarajiwa
Likeki lingine chezeya Cynthia
Baba na Mama watarajiwa
Cynthia akikata keki
Nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo
maishalllah
Kiss la ushindi
Kama ninawaona walivyonuna midomo kapu,lol mtazamo tuu jmn
Akimlisha rafiki
 Akideka kwa rafiki yake
 lovely
Jk na cynthia 
 Rio Paul akipata kipande chake
Reactions:

1 comment:

  1. Ilifunika ile mbaya, watu tulilewa pia tukabeba mizinga mizima ya pombe na mingine ikabaki. Richard na Cynthia heshima zenu, haijawahi kutokea.

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!