Sijui hata Nilisahau vipi...binti yangu amemaliza play school, mwezi wa Tisa anaanza junior infants
Mwanangu alikuwa star darasani Kwao 🙈 Kwani Muafrika alikuwa peke yake 😃😃😃😃
Cheki picha basi za binti
Msomi Ndani ya joho
Na Miss Regina na wanafunzi wenzie
Akipokea cheti
Akipokea cheti
🙏
0 comments:
Post a Comment