28 February 2014

Kizaazaa kilishuhudiwa mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya kasisi wa kanisa moja kufumaniwa peupe akiwa na mwanamke anayesemekana kuwa mke wa wenyewe ndani ya chumba cha malazi. Kasisi huyo alipatikana na umati wa watu, uliofika hapo kushuhudia sinema ya bure. Inadaiwa mchungaji huyo alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata kwenye vyumba vya malazi.

 

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!