13 September 2013

Yule aliyekua shoga maafuru Anti Asu ameamua kuachana na mambo ya kishetani na kumrudia mungu.

 Anti Asu aliyasema hayo katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI  kinachoendeshwa na Khadija Shaibu aka Dida wa Ezden na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa.  

Hizi ni baadhi ya picha zake kabla ya kuokoka na baada ya kuokoka 
                 Kabla hajaokoka

          Baada ya kuokoka
      Akiwa na wanakondoo wenzie
     Akiwa Kanisani

Tmark tunakuombea mwenyezimungu akuongoze katika maisha yako mapya ya kiimani.

Picha kwa hisani ya Mitikisiko ya pwani blog.

1 comment:

  1. MUNGU ATAKUONGOZA KAKA YANGU KTK NJIA NJEMA KILA MTU ANAPOTEA KWA AINA YAKE

    ReplyDelete

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!