28 February 2014

MUSCAT — Mzee mwenye umri wa miaka 153 amefariki tarehe 26 Feb 2014, uko nchini Mascat mjini Shinas.


Mtu anaye aminika kuwa ndio mzee kuliko wote mjini Shinas kwa jina la Mohammed bin Masoud al Kalbani, alikuwa akila vyakula fresh na vilivyopikwa nyumbani kwake tu, na haswa akipendelea kula Siagi inayotengenezwa kutokana na mimea. asali na kunywa maziwa sana. Hayo yalielezwa na mjuu wake Musalam bin Sulaiman al Kalbani.
Akiongeza katika maelezo yake alisema marehemu alikuwa akifanyakazi ya ukulima na biashara.

Mzee Mohammed bin Masoud, ameacha wajukuu mia tatu (300).


source: 153-years Die

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!