Chezeya machinga hata katika starehe biashara huzungumziwa
Muke ya Mumasai na Tunda Man
Muke ya mumasai na rafiki yake
Haaaaah sisterz 4ever
Happy people,watanunaje wanaopenda uchonganishi
Fat Joe na friend,kimini chahitaji mguuu nimempenda huyo mdada
Nani kakwambia Wasonjo hawa party shauri yako na mawazo yako ya longtime kitambo
Fat Joe Mukaka ya Mie
Handsome wa Manzese Tunda man akiwarusha wajanja wa Milton UK
Chezeya Goma la Mazese weye hadi viatu pembeni
Mikono Juu
Tunda man na Aziza wendo Aka Mama Naima
Gomba linapochukua hatamu yake
Teena watasemaje wenye Midomo kapu
Mmependeza maishalllah hiyo nguo ya dosti dosti killing me wallahi
Kiduku au kwaito?
Walipanga au imetokea kwa bahati mbaya,ninazungumzia nguo za njano,viatu blue hahahahahah
Fat Joee
Fat Joe na Muke Ya Mumasai wa Ukweli
Kulia Tunda man,katikati Manager wa Tmark,mwisho Mmasai mume wa Mariamu
Wakizipata habari watanunajeeeeeeeeee
Kimini kilipotendewa haki,Ninakusubiri Ugeuke dada
Watanunajeeee na kuongea sanaaaa katika vikao vyao vya makapu yasiyojaaa
Sio kama walikuwa wanacheza segere hapana ni bongo flava hiii hii unayoijua ww na mimi
hakunaga kama Tundaman na Goma lake la Manzese chezeaa! Watu walipendezajeee na huyo mwenye kimini uliye mpenda ndo Diva no 1 aka Meckyladiva my sister aka Super Star wa bongo moviesssss. Wametisahjeeeeeee
ReplyDelete