8 May 2014


The le MUTUZ akiwa na wema wa chibu
@ LE MUTUZ LIVE:- GOOD MORNING FB, LEO I WANT TO TOUCH THIS VERY SENSITIVE SUBJECT YA WANAODAI KUWA INAPOKUJA KWENYE DIASPORA HUENDA NINA WIVU NA CHUKI NA WANAOISHI MAJUU KWA SABABU NILIRUDI, HA! HA! HA! KWA WALE AMBAO HAMJAFIKA MAJUU NAOMBA KUSEMA HIVI:- MUNGU ALINIJALIA SANA CONFIDENCE IN MYSELF NA EVERYTHING I DO, NILIPOFIKA MAJUU KWA MARA YA KWANZA NILIKUTA WABONGO KARIBU WORE POALE NEW YORK WANAFANYA KAZI ZA KULINDA NA KUTUNZA WAZEE NA MATAHARIA, SIKU MOJA MBONGO MMOJA ALINIPELEKA KWENYE KAZI YA KUTUNZA MATAHARIA NILIKAA KAMA LISAA LIMOJA TU SIKURUDI TENA, NIKAENDA SHULE KUTAFUTA LESENI YA CDL YA KUENDESHA MALORI MAKUBWA SANA AMBAYO HAPOA BONGO HAYAPO KAZI AMBAYO INALIPA HASWA NIKAHANGAIKA MPAKA NIKAPATA ILE LESENI NIKIWA NINAFANYA KAZI GAS STATION MCHANA NA USIKU KENTUCKY FRIED CHICKEN, NILIPOPATA LESENI NIKAANZA KUENDESHA MALORI AMERICA NZIMA, WALE WABONGO NILIOWAKATALIA ZILE KAZI ZAO WAKAANZA KUNIZUSHIA MANENO KWAMBA NINAUZA UNGA, HA! HA! HA! HA!, KABLA YA KWENDA NEW YORK NILISHAKUWA BAHARIA BELGIUM SO ULAYA HAIKUWA KITU KIGENI KWANGU, NDIO MAANA SIKU MOJA NIKAAMUA KURUDI BONGO MWENYEWE BILA KULAZIMISHWA N MTU, CHA KWANZA NILIPOFIKA TU BONGO NIKAANZA KUNENEPA WHY? KWA SABABU NI KWA MARA YA KWANZA KATIKA MIAKA 30 YA MAISHA YANGU NIMEWEZA KU-RELAX NA MAISHA, MAJUU NI KUFANYA KAZI TU NA KULIPIA MADENI WAZUNGU SIO WAJINGA WAMEITENGENEZA SYSTEM YAO TO THE POINT WEWE UNAENDA KUCHANGIA UCHUMI WAO TU HAUWEZI KUWA TAJIRI MAANA UWEZEKANO HAUPO, WEWE NI KAZI TU, SOCIAL LIFE HAMNA NI KAZI TU KILA UKIKAA UNAWAZA KAZI, MABEBEZ HAMNA, WACHACHE WABONGO WALIOPO NI HASARA TUPU WENGI WAO HAWAJITAMBUI, KWENYE UZUNGU HAWAPO KWENYE UBONGO HAWAPO WAPO WAPO OLE WAKO UWAGUSE, I MEAN KILA KITU MAJUU NI PERFECT LAKINI GHARAMA YAKE HAIKUPI NAFASI WEWE KUWA NA PESA EXTRA, NDIO UNAGUNDUA KWAMBA MAJUU SIO KAMA ULIVYOTEGEMEA MAISHA NI MAZURI LAKINI MAGUMU SANA KURUDI BONGO NAKO HUWEZI MAANA NI NOMA ZAIDI SO YOU ARE STUCK, I WAS STUCK TOO MPAKA NILIPOAMUA KWA HIARI YANGU KURUDI HOME,
- HAPA SINA DENI KWA MARA YA KWANZA KATIKA MAISHA YANGU, SIDAIWI NA MTU KILA NILICHONACHO, KAMA NI GARI NI LANGU, APARTMENT NI YANGU, SHAMBA NA NYUMBA NI VYANGU SIDAIWI NA MTU, NAFANYA KAZI YA KUJIAJIRI, NAKUJA KAZINI SAA NINAYOTAKA, NINATOKA SAA NINAYOTAKA, KWA MARA YA KWANZA NINAMILIKI SIMU ZA USD $ 1000 A PEACE MAJUU NINGEKUWA NAYO YA KUKOPA NA SIKUWAHI KUWANAZO, BONGO MAISHA BAADA YA KAZI HAYANA MFANO, MARAFIKI KILA KONA KULE UNAKUWA HUNA MARAFIKI, BONGO HESHIMA KILA KONA MAJUU MWEUSI ATAKUHESHIMU NANI? I MEAN KWENYE KUJIAJIRI NIKIPIGA DEAL MOJA IKAITIKA MILLIONS ZINAKUWA ZANGU SIO KULIPIA MADENI, NINASAFIRI BONGO NA NJE YA BONGO ANYTIME I WANT MAJUU NISINGEWEZA MAANA NI KAZI TU ALL THE TIMES, SASA NAOMBA KUULIZA JAMANI KWELI NIWAONEE WIVU NA CHUKI WALIOBAKI MAJUU KWA KISA GANI? NASEMA HIVI MAJUU WANATUZIDI BONGO KWA ONE THING MATIBABU WAO WAKIUMWA KULE NI RAHISI SANA KUPONA KULIKO HIZI HOSPITALI ZETU BONGO, NI HILO TU MENGINE HAPANA BONGO KUNA MAISHA ASIKUDANGANYE MTU, AGAIN MUNGU ALINIJALIA MOYO WA KUJALI YANGU ZAIDI NA SIO YA WENGINE SO KWA WALE MNAOLIA LIA KWAMBA NAWAONEA WIVU ETI MKO MAJUU HA! HA! HA! HA! PLEASE!!, NINAFANYA BIASHARA NA WABONGO WENGI HUKO NJE INAPOKUJA KWENYE KULIPA NI KIVUMBI NA PATASHIKA LAKINI HAPA BONGO NI TOFAUTI WATU WANALIPA MARA MOJA TENA MPAKA KWA DOLA ZA KIMAREKANI, JAMANI KWA WALE AMBAO HAMJAFIKA HUKO MAJUU NA UNAWEZA KULA MILO MITATU BONGO BILA TATIZO TULIENI HAPA HAPA JAMANI HUKO MAJUU KUSIKIENI TU!!, NINAMSHUKURU MUNGU KILA SIKU KWA KUNIPA AKILI YA KWENDA MAJUU NA PIA YA KURUDI HOME ONTIME KABLA SIJACHELEWA, NDUGU ZANGU HUKO RUDINI HUKU BONGO MAISHA NI SAWA ILA TU UJIPANGE KABLA YA KUJA NA MUHIMU KULIKO YOTE SOMA SHULE KWANZA, HUKU BONGO BILA ELIMU UTACHEKESHA MAANA HELA UKIJANAZO ZITAISHA KAMA HUNA ELIMU. JAMANI SAMAHANI KWA MAELEZO MAREFU LAKINI I HOPE NIMEMSAIDIA SOMEBODY OUT THERE!! - LE MUTUZ

1 comment:

  1. NIMEKUSOMA KAKA ANGU .ULOSEMA YA KWELI MIE NAISHI EUROPE NA NINAONA TAFAUTI YAKE NA NILIKOTOKA . NAAMINI NAISHI KWA NGUVU ZA MUME WANGU INGEKEWA HANI SAPOTI NINGERUDI NA NAAMINI MOLA ATANITILIA NURU KTK YANGU NIRUDI.
    ULAYA UKIJA UPATE MUME MWENYE HELA ZAKO UPELEKE KWENU UWE NA KITEGA UCHUMI . LAKINI UTAFANYA KAZI UFANYAVYO KAMA HUNA SAPOT YA MWINGINE HUFIKI.
    WEWE MWAMAUME BWANA ,WENGI YA WANAUME WANATESEKA

    ReplyDelete

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!