Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south Africa.
Mtu wa karibu wa wasanii hao amesema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamelala kwenye chumba chao.
Mauti yamemkuta msanii ngwea baada kusemekana wametumia dawa za kulevya nyingi.
Msanii M ti the P yupo hospital.
Tutazidi waletea habari zaidi......
0 comments:
Post a Comment