Mwenyezimungu akupe kauli thabiti bibi yangu mkubwa Naima,akupunguzie adhabu za kaburi bibi yangu
Leo hii asubuhi nimepokea habari za msiba wa bibi yangu mkubwa bi Naima Rajab aliyefariki Tanga.
Na atazikwa kesho wilayani Muheza kTika kijiji cha Enzi panapo majaliwa inshallah.
0 comments:
Post a Comment