Muigizaji wa filamu za kibongo Hemed Suleiman amesema yeye hana mazoea ya kutumia kinga wakati akifanya mapenzi.
Hemed ameyasema hayo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na mbunifu wa Single buttons kivazi ambacho kimejizolea umaarufu sana Bongo, na mmiliki wa blog ya mvutokwanza Martin Kadinda.
Alisema ameshatembea na mastaa wenzake wa kike wapatao 32 hadi sasa kwa hesabu zake za haraka haraka na kuwa kwa mastaa hao hakuna hata mmoja aliyetumia nae kinga.
Hemedi ambae ameendelea kujitapa kuwa yeye ndio bingwa wa kucheza na mioyo wa mabinti wa kibongo na ndio maana wanamuita hemed PHD.
Ameendelea kuwananga wasichana hao kuwa kutokana na kutovutiwa nao na ndio maana huwa anapita tu,kwa kuwa huwa anakuwa na hamu ya kufanya nao mapenzi kwa wakati huo na hasa asipokuwa na uhusiano wa maana na mtu yoyote kwa wakati huo.
Aliongeza miezi mitatu aliyopita alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja jina, na sasa wameshaachana ila aliwahi pima nae virusi vinavyopelekea ugonjwa wa Ukimwi.
zaidi ingia:www.mvutokwanza.com
0 comments:
Post a Comment