RUKIA ABDALLAH ni mtoto wa miaka miwili anayeishi Wilayani RUANGWA mkoani LINDI aliungua maji ya moto,akapelekwa hospitali ya wilaya RUANGWA ambako alipata huduma ya kwanza na kushauriwa aende NDANDA,NYANGAO au MUHIMBILI.
Wazazi wa RUKIA hawana uwezo kifedha wa kumfikisha mtoto wao katika hospitali hizo,wanaendelea kumuuguza mtoto huyo kienyeji nyumbani kwao na sasa mtoto huyo anatoa harufu kali kwenye kidonda hicho.
Kwa niaba ya Familia Mimi Abdulaziz Ahmeid wa Lindi Press Club na Mwandishi wa Channel ten Mkoa wa Lindi natumia fursa hii kumuombea mtoto huyu msaada ili asaidiwe kupatiwa Matibabu ya Haraka kunusuru Maisha yake.
kwa mawasiliano
SIMU
O787176221/0716483532..
AU WASILIANA NA LINDI PRESS CLUB ILI KUFIKIA KIJANA HUYO.
hisani ya thisdaymag.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment