12 June 2014

Katika tembea tembea zangu uko mikoani nyanda za juu...! Nikakutana na kitu hiki (Ungo) maalum kwa kunasa mawimbi ya king'amuzi ili luninga iweze kuonyesha mechi za kombe la dunia uko Brazil.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!