OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA
MITAA (OWM – TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA
MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.
A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA
YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA
IFUATAVYO:-
i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677
Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za
vyuo vyaualimu Tanzania Bara.
B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:-
1. Kuripoti
ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi.
2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vya chuo na Sekondari
3. Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kieli
mu wanatakiwa kurudi kwa waajiri wao ili kuendelea na kazi
4. Fedha za kujikimu za siku saba (7)
na nauli kwa walimu wapya zimetumwa katika Halmashauri walikopang
wa walimu. Hivyo, kila mmoja aripoti katika Halmashauri aliyopangwa
5. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa
tena na atakuwa amepoteza ajira yake.
0 comments:
Post a Comment