Innalillah wainaillah rajiun
Ndugu watanzania tunasikitika kuwajulisha kuwa Dada yetu Zainabu Buzohera AMEFARIKI Jana Jumamosi January 4, 2014 at 8:00PM at Doctors Community hospital hapa MD.
Mipango ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania inaendelea.
Gharama ni $15, 000.
Tunakuomba tuma mchango wako kwenda :
CITI BANK
Ms. Ngalu Buzohera
AC 50070000
routing 9106834936
MOLA AMLAZE PEMA NA AMWEPUSHUE MAZITO YA KABURI .HUYU DADA NILIMJUA KWA AJILI YA LOVEN ESS MAMUYA AMA KWELI KIFO HAKINA HURUMA .SIJUI NINI KILOMPATA .MOLA NISAMEHE KWANI KENDA BADO
ReplyDeleteINNALILAH WAINA ILLAIH RAAJUUN