Tarehe tano ya mwezi Kama huu mwaka 2010 ndio ulikuja duniani mama na kunipa mie jina lingine ambalo linanipa faraja sana,Huku baadhi wakiniita mamaT,wengine mama Aaiyyah,na wengine mamaTaqqiyyah.
Siamini darling wangu jinsi siku zinavyosogea Kuwa sasa wewe umetimiza miaka minne. ulianza kusema my name is Aaiyyah,na sasa unajiita tatiyyah baada ya Taqqiyyah. Mama I love you mingi sana Mpz wangu wewe Kwangu ni zaidi ya mtoto.
Ur are my first love, my baby, my best friend, to me you are all I see in my life.
Ninakuombea maisha marefu na afya tele mama.
Taqqiyyah wangu
0 comments:
Post a Comment